Biashara halali ya mil.3

Waambi

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2012
Posts
737
Reaction score
81
Nimelipwa vimafao vya sh.mil.3. Nifanye biashara gani halali hapa Dar wana.JF?
 
uza kuku ngoja wataalam waje mwaya :smile-big:
 
mhh biashara ngumu kushauri labdakwa wataalumu hasa watakushauri.
ila angalia eneo ulipo kuna fursa ili ambayo yaweza fit mtaji wako hicho ndio cha kwanza, find opportunity amabazo zipo wazi ulipo ndio itakuwa rahisi hata kurudisha mtaji wako.
Kila la kheri
 
Chambua strength na udhaifu wako, kisha angalia fursa zinazokuzunguka bila kusahau vihatarishi vya uamzi wako. Kisha tengeneza mpango wa biashara tarajiwa.
 
Nimelipwa vimafao vya sh.mil.3. Nifanye biashara gani halali hapa Dar wana.JF?

Mi nina business yangu ya Stationery na Video library kwa pamoja (ziko two in one) nauza. Value (thamani) ya biashara ni milioni 7 including bidhaa, mashine, computer, printers, scanner, TV screen, meza/kabati ya aluminium n.k. Maelewano yapo pia. Eneo la biashara ni zuri, Mabibo karibu na shule. Sababu ya kuuza ni kwamba nitakuwa shule hivyo usimamizi siwezi kumudu tena. Picha ya duka imeambatanishwa.... Yaani nakuuzia unaendelea na biashara saa hiyohiyo ukitaka.

Mawasiliano 0758397557, 0718174415.
Attached Thumbnails
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…