mhh biashara ngumu kushauri labdakwa wataalumu hasa watakushauri.
ila angalia eneo ulipo kuna fursa ili ambayo yaweza fit mtaji wako hicho ndio cha kwanza, find opportunity amabazo zipo wazi ulipo ndio itakuwa rahisi hata kurudisha mtaji wako.
Kila la kheri
Chambua strength na udhaifu wako, kisha angalia fursa zinazokuzunguka bila kusahau vihatarishi vya uamzi wako. Kisha tengeneza mpango wa biashara tarajiwa.
Mi nina business yangu ya Stationery na Video library kwa pamoja (ziko two in one) nauza. Value (thamani) ya biashara ni milioni 7 including bidhaa, mashine, computer, printers, scanner, TV screen, meza/kabati ya aluminium n.k. Maelewano yapo pia. Eneo la biashara ni zuri, Mabibo karibu na shule. Sababu ya kuuza ni kwamba nitakuwa shule hivyo usimamizi siwezi kumudu tena. Picha ya duka imeambatanishwa.... Yaani nakuuzia unaendelea na biashara saa hiyohiyo ukitaka.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.