Biashara haramu zina hela nyingi sana.

ila hiyo ya kusafirisha binadamu ni nomer sasa. na kwq hii miaka ipo sana zaidi ya tunavyodhania, mbaya zaidi yaani msafirishwaji anajisafirisha mwenyewe! yaani bidhaa inajipandisha ndege yenyewe kwenda kutekwa! wala usije fikiri eti mtu kafungwa pingu au makamba anasafirishwa, Noo Binti mzuri mwenye Makebo anajipeleka mwenyewe!

ila Warussi ndio wametoa mpya kusafirisha Waafrica kuwapeleka kwenye vita yao! ingawa hili Taifa ni baba yetu kwenye mambo ya Ujamaa kusema kweli ni Lijitu hatari sana nadhani hata Shetani anasubiri, Mi mwenyewe nashukuru Mungu Russia hatupakani naye kwenye mpaka wowote, nawaonea huruma sana Wakoloni wetu sijui walikosa nini kuwekewa Lijinamizi kama Russia uwani mwao.
 
😂 Hapo umepatia, hizi biashara haramu zinaonekana kama zina hela ndefu sana. Tatizo ni kwamba nyuma ya hiyo hela kuna risk kubwa sana—jela, kupoteza mali, usalama wa maisha na hata kuumiza watu wasio na hatia. Bora hela iwe ndogo lakini ya halali na mtu alale kwa amani. 😄
 
Ajali kazini jomba 😄😄na wenye roho ngumu tu ndo wanaweza hizi mambo
 
Human trafficking,
Mtu anasafirishwa kwa ahadi ya kwenda kupewa maisha mazuri ila akifika huko ni verse versa
 
Tunapataje Kazi kwenye hizi Industry?
 
Usipokuwa bandidu huwezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…