1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
haha haha mzee baba umehamaki sanaaaa[emoji23]Mawazo ya kimaskini sana haya..kama ni wakuliwa ataliwa tu hata alale ndani
umenielewa kaka eeeeh shukran [emoji16]Aisee umeleweka.suluhu ni kukaa nyumbani tu!hata umfungulie duka pia ni hatarishi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hamna hawa viumbe ukipata anaejitambua uta enjoy sanahaha haha mzee baba umehamaki sanaaaa[emoji23]
baada ya hoja yako hii nilitegemea uje na solution ya hilo tatizoSalon ya kike,, Hapa kuna Wateja ambao ni Mashuga mamy,Wakujiuza,Waloshindikana,,, Watamjaza ujinga Mkeo hadi afanane nao, watampa mbinu zote ambazo hazijui,, Ipo siku braza utarusha ngumi
Mgahawa,, Hapa watakuja wateja masikini na matajiri,,, hao wenye pesa lazima kuna siku utarusha ngumi
Bar/Glosary,, Hapa ndo shida kabisa wateja wakilewa hawakawii kumshika tako mkeo kimasiaramasira tu na kiutan utani,, watu hawaoni hatari kuacha mshahara,, Utagombana na watu mkuu
Mama lishe kama ninyumbani hapohapo sawa,tofauti na nyumbani usijari watakula vyoteUkiendekeza wivu utakufa masikini,
Ila pia tahadhari ni nzuri.
Mimi grocery staki mke wangu atie mguu!!
Na saluni kwa mbaali siitaki, ila ikibidi ntamfungulia atajijua mwenyewe!!
Mama lishe ruksaaa!!!
kweli mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] hamna hawa viumbe ukipata anaejitambua uta enjoy sana
Mkuu kwa iyo nimfungulie kampuni ya ndege auSalon ya kike,, Hapa kuna Wateja ambao ni Mashuga mamy,Wakujiuza,Waloshindikana,,, Watamjaza ujinga Mkeo hadi afanane nao, watampa mbinu zote ambazo hazijui,, Ipo siku braza utarusha ngumi
Mgahawa,, Hapa watakuja wateja masikini na matajiri,,, hao wenye pesa lazima kuna siku utarusha ngumi
Bar/Glosary,, Hapa ndo shida kabisa wateja wakilewa hawakawii kumshika tako mkeo kimasiaramasira tu na kiutan utani,, watu hawaoni hatari kuacha mshahara,, Utagombana na watu mkuu
nipe solution mkuubaada ya hoja yako hii nilitegemea uje na solution ya hilo tatizo
ndiyo mkuuUkiendekeza wivu utakufa masikini,
Ila pia tahadhari ni nzuri.
Mimi grocery staki mke wangu atie mguu!!
Na saluni kwa mbaali siitaki, ila ikibidi ntamfungulia atajijua mwenyewe!!
Mama lishe ruksaaa!!!
Hahaaa mda mwingine mwanamke halindwi, atakuja kuliwa hata jikoni anakuchemshia maji uoge.Mama lishe kama ninyumbani hapohapo sawa,tofauti na nyumbani usijari watakula vyote
Habari ndio hiyo.Mawazo ya kimaskini sana haya..kama ni wakuliwa ataliwa tu hata alale ndani
Hiyo nikweli ila kwa mwanamke watuwaru.kwa anaejitambua hawezi kufanya hayo,ila huyohuyo ukimpeleka mbali na nyumbani kwake kibiashara,anatokewa na wengi atajitahidi kuwakataa ila wengine wanavipaji vya ushawishi atachemka tu!suruhu mfungulie mradi nyumbani hapohapo hata vidume watakuwa nahofu yakubumburuka kwamajirani.mwenye kujitambua hawezi kukupa nafasi yakukusikirizaHahaaa mda mwingine mwanamke halindwi, atakuja kuliwa hata jikoni anakuchemshia maji uoge.