Biashara hatarishi kumfungulia Mke wako:- Salon ya kike, Mgahawa, Bar au grosary

1kush africa

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2016
Posts
9,552
Reaction score
13,090
Salon ya kike,, Hapa kuna Wateja ambao ni Mashuga mamy,Wakujiuza,Waloshindikana,,, Watamjaza ujinga Mkeo hadi afanane nao, watampa mbinu zote ambazo hazijui,, Ipo siku braza utarusha ngumi

Mgahawa,, Hapa watakuja wateja masikini na matajiri,,, hao wenye pesa lazima kuna siku utarusha ngumi

Bar/Grosary,, Hapa ndo shida kabisa wateja wakilewa hawakawii kumshika tako mkeo kimasiaramasira tu na kiutan utani,, watu hawaoni hatari kuacha mshahara,, Utagombana na watu mkuu
 
Salon ya kike,, Hapa kuna Wateja ambao ni Mashuga mamy,Wakujiuza,Waloshindikana,,, Watamjaza ujinga Mkeo hadi afanane nao, watampa mbinu zote ambazo hazijui,, Ipo siku braza utarusha ngumi

Mgahawa,, Hapa watakuja wateja masikini na matajiri,,, hao wenye pesa lazima kuna siku utarusha ngumi

Bar/Glosary,, Hapa ndo shida kabisa wateja wakilewa hawakawii kumshika tako mkeo kimasiaramasira tu na kiutan utani,, watu hawaoni hatari kuacha mshahara,, Utagombana na watu mkuu
baada ya hoja yako hii nilitegemea uje na solution ya hilo tatizo
 
Ukiendekeza wivu utakufa masikini,
Ila pia tahadhari ni nzuri.

Mimi grocery staki mke wangu atie mguu!!
Na saluni kwa mbaali siitaki, ila ikibidi ntamfungulia atajijua mwenyewe!!
Mama lishe ruksaaa!!!
Mama lishe kama ninyumbani hapohapo sawa,tofauti na nyumbani usijari watakula vyote
 
Salon ya kike,, Hapa kuna Wateja ambao ni Mashuga mamy,Wakujiuza,Waloshindikana,,, Watamjaza ujinga Mkeo hadi afanane nao, watampa mbinu zote ambazo hazijui,, Ipo siku braza utarusha ngumi

Mgahawa,, Hapa watakuja wateja masikini na matajiri,,, hao wenye pesa lazima kuna siku utarusha ngumi

Bar/Glosary,, Hapa ndo shida kabisa wateja wakilewa hawakawii kumshika tako mkeo kimasiaramasira tu na kiutan utani,, watu hawaoni hatari kuacha mshahara,, Utagombana na watu mkuu
Mkuu kwa iyo nimfungulie kampuni ya ndege au
 
Ukiendekeza wivu utakufa masikini,
Ila pia tahadhari ni nzuri.

Mimi grocery staki mke wangu atie mguu!!
Na saluni kwa mbaali siitaki, ila ikibidi ntamfungulia atajijua mwenyewe!!
Mama lishe ruksaaa!!!
ndiyo mkuu
 
Hahaaa mda mwingine mwanamke halindwi, atakuja kuliwa hata jikoni anakuchemshia maji uoge.
Hiyo nikweli ila kwa mwanamke watuwaru.kwa anaejitambua hawezi kufanya hayo,ila huyohuyo ukimpeleka mbali na nyumbani kwake kibiashara,anatokewa na wengi atajitahidi kuwakataa ila wengine wanavipaji vya ushawishi atachemka tu!suruhu mfungulie mradi nyumbani hapohapo hata vidume watakuwa nahofu yakubumburuka kwamajirani.mwenye kujitambua hawezi kukupa nafasi yakukusikiriza
 
ukiendezekeza mawazo hyo mkeo atabaki nyumbani,inategemeana na akili za mwanamke mwenyewe kama kafuata kazi au mabwana,pia kila kazi inachangamoto zake .mwanamke achungwi anajilinda mwenyewe hata umuwekee fence akiamua kuchepuka anachepuka.
 
Wewe mtoa mada Utakuwa ni wale wakutoka kanda maalum.
 
Back
Top Bottom