Biashara hatarishi kumfungulia Mke wako:- Salon ya kike, Mgahawa, Bar au grosary

Mpango wa kumfungulia mama Bhooke saloon upo pale pale...kuibiwa si kitu hata sreikali Tr. 1.5 zimejiteka!
 
Dah..... Ni uonevu mkubwa sana mke kuhangaika kutafuta kipato...Kazi kuu ya mke ni kumfariji mumewe...aamke asubuhi asimamie kazi za nyumbani...jioni aende gym..arudi haraka nyumbani....aoge..ajipambe...amsubiri mumewe....Kinyume cha hapo ni uonevu mkubwa usiovumilika...Hii ni asili tu..haipingwi🙂
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hamna hawa viumbe ukipata anaejitambua uta enjoy sana
kuna comment yko niliiona sehemu ktika Uzi mmoja inasema kuwa Hawa watu wanabadilika kama kinyonga..then katika huu Uzi unasema kuwa "" ukipata anayejitambua uta enjoy sana""

kwahiyo hao wnaojitambua wao huwa hawabadiliki kama kinyonga mkuu"""


ukitaka kuzijua kuhusu sarakasi za Watoto wakike vyema tafute siku moja maalumu"" kisha umshirikishe baba yko utafiti wako"" kisha mwambie akupe story kidogo kuhusu Hawa viumbe "" MIMI BABA YANGU ALISHAWAHI KUNIAMBIA KUWA TUNAPOSEMA ... WANAWAKE MWALIMU WAO NIKIPOFU "" NA MAANISHA HATA MAMA YANGU MZAZI NAYE ANAHUSIKA.. AMBAYE NI BIBI YKO PIA
 
Write your reply...acha wasiwasi mkuu ila bora nimfungulie biashara yoyote lakini sio saluni maana kule ni makutano ya umbea wenzake watamwambia makoloni yangu wanayonibamba nayo kwenye viwanja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…