Horseshoe Arch
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 13,403
- 12,775
Mpango wa kumfungulia mama Bhooke saloon upo pale pale...kuibiwa si kitu hata sreikali Tr. 1.5 zimejiteka!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah...Asikudanganye mtu....hawa viumbe wote ni sawa..ni alternating current (AC)...inatengemea tu na angle aliyokuwepo kwa wakati huo....🙂[emoji23] [emoji23] [emoji23] hamna hawa viumbe ukipata anaejitambua uta enjoy sana
Ndiyo maana Afrika maendeleo yakusukuma mno, ngono imeshamiri kwa vijana wengi na kushindwa kuboresha uwadhifa walio nao. [emoji17]Mawazo ya kimaskini sana haya..kama ni wakuliwa ataliwa tu hata alale ndani
kuna comment yko niliiona sehemu ktika Uzi mmoja inasema kuwa Hawa watu wanabadilika kama kinyonga..then katika huu Uzi unasema kuwa "" ukipata anayejitambua uta enjoy sana""[emoji23] [emoji23] [emoji23] hamna hawa viumbe ukipata anaejitambua uta enjoy sana
Hahaaa mda mwingine mwanamke halindwi, atakuja kuliwa hata jikoni anakuchemshia maji uoge.
Mawazo ya kimaskini sana haya..kama ni wakuliwa ataliwa tu hata alale ndani