Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Jero ipo!Sina hela mkuu. Sasa Dada Mane una buku hapo? Jero je?
Sasa Chief, Boss,Kongozi, Dada Mkubwa unaonaje hilo jero uninunulie hata vocha ya tigo kisha unikwangulie unitumie PM.Jero ipo!
Sasa Chief, Boss,Kongozi, Dada Mkubwa unaonaje hilo jero uninunulie hata vocha ya tigo kisha unikwangulie unitumie PM.
Dada angu offer yangu ni million 1.5 _mpaka million 2 kwa mwezi.Faw? Kwa siku ofa yako ngap
Dada angu offer yangu ni million 1.5 _mpaka million 2 kwa mwezi.
Dreva wangu na services ndogo zitakuwa juu yangu.
Ukubwa Wa body uwe unaanzia walau 4.5m square.
Mengineyo; ni pm Dada angu, tuongee vizuri.
Nipo songea sehemu zote zenye machimbo ya dhahabu biashara hi inafanyika sijui we upo wapi unakuwa tuu na leseni ya biashara ila kwa msumbiji biashara inafanyika bira ya Kodi maan migodi mingi ipo polini haifatiliwi ila utulivu mdogo kwa msumbiji
Sent using Jamii Forums mobile app
Ongeeni hapa hapa hamna cha pm..mkitapeliana msije jukwaan iishie huko huko pmDada angu offer yangu ni million 1.5 _mpaka million 2 kwa mwezi.
Dreva wangu na services ndogo zitakuwa juu yangu.
Ukubwa Wa body uwe unaanzia walau 4.5m square.
Mengineyo; ni pm Dada angu, tuongee vizuri.
Ongeeni hapa hapa hamna cha pm..mkitapeliana msije jukwaan iishie huko huko pm
[emoji3][emoji3][emoji3]hapana dada sio wewe..Yamekuwa hayo!...kwamba nimtapeli sanchez[emoji28]!
We upo wapMi nataka compressor machine ya kutobolea mawe ili yavunjwe na baruti
Sent using Jamii Forums mobile app
Lipia tangazo lako libaba pesaNatumai wazima wote.
Leo nimeona niwashilikishe aina hii ya biashara yenye faida kubwa pengine ulikuwa haujui.
Pichani hiyo ni crasher, wengine huita karasha. Ni mtambo unaotumika kuvunjia mawe yenye madini kwenye migodi ya wachimbaji wadogo.
Mtambo huu unatumia mashine ya Diesel gear box na karasha lenyewe.
Unapataje pesa
Ukishakuwa na mtambo huo unaenda kuuweka sehemu ambayo kuna wachimbaji wadogo wa dhahabu. Wao huwa hawana huu mtambo; kinachofanyika wanakuja kwako na mawe yao wewe unakuwa unawapasulia.
Kunakuwa na makubaliano mawili: watakulipa pesa au mtagawana percent ya dhahabu itakayo patikana baada ya kuvunja mawe.
Ukifanikiwa kuwa na mtambo huu amini ndani ya miezi mitatu unarudisha pesa yako uliyo wekeza unaanza kula faida na huu mtambo unaweza kufanya kazi mpaka miaka miwili itategemea umetumia plate milimita ngapi kuunda karasha lako Ingawa plate ya milimita 25 na kuendelea ni safi zaidi.
Gharama za kumiliki
Gharama zinategemea aina ya vyuma vilivyo tumika ili uwe na mtambo na uanze kufanya kazi angalau uwe na Tsh 10 mil pia inategemea unaenda kuuweka wapi mtambo wako ila amini within three months hela yako inarudi.
View attachment 1373236View attachment 1373243View attachment 1373244View attachment 1373245
Sent using Jamii Forums mobile app
Tabu Ni makato,Kodi,ushuru,,
Yaani ukutwe na lundo la mchanga tu,unaambiwa lipia ushuru milioni 15 kea mwaka,,jamaa mmoja mwenye nalo nilimsikia analalamika
Baki huko huko [emoji23][emoji23][emoji23]Hapana..mazingira yanachosha...! Km unazo niongezee tu