Biashara hii ina faida kupita biashara zote

Biashara hii ina faida kupita biashara zote

Ukiwekeza kwa Geita maeneo ya Nyaruyeye na Nyarugusu,na kule Katoro itakulipa sana kiroba cha mawe cha 25kg miaka hile ya 2006 walikuwa wanasaga kwa 7000/= ss hivi nafikiri ni zaidi ya 10,000/= kusaga 25Kg inachukua dakika 24 mpaka 30minutes .
Hiyo kwa saa unaingiza si chini ya 20,000/= zidisha kwa masaa 20 unapata 400,000/= kwa siku kama faida japo kuna wengine mnaweza kukubaliana malipo yatafanyika intern of percentage ya kiasi cha gold itakayopatikana .
Kifupi ni biashara nzuri sana kuifanya kama una mtaji .
Ungebaki huko badala ya kuja Mjini kutupangisha vyumba kwa masimango! Vipi Babu? Bado anadunda?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom