sumni
Senior Member
- Jul 30, 2017
- 145
- 101
unapatikana wapi mimi nipo darMie nakopesha 1m kwa 1.2m...! Tuongee kibiashara bro[emoji28], nimeichoka hii mishe...nimechoka vby sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unapatikana wapi mimi nipo darMie nakopesha 1m kwa 1.2m...! Tuongee kibiashara bro[emoji28], nimeichoka hii mishe...nimechoka vby sana
😉😉😉...sorry....ilikua utani na huyu mshikaj
[emoji6][emoji6][emoji6]...sorry....ilikua utani na huyu mshikaj
Ungebaki huko badala ya kuja Mjini kutupangisha vyumba kwa masimango! Vipi Babu? Bado anadunda?Ukiwekeza kwa Geita maeneo ya Nyaruyeye na Nyarugusu,na kule Katoro itakulipa sana kiroba cha mawe cha 25kg miaka hile ya 2006 walikuwa wanasaga kwa 7000/= ss hivi nafikiri ni zaidi ya 10,000/= kusaga 25Kg inachukua dakika 24 mpaka 30minutes .
Hiyo kwa saa unaingiza si chini ya 20,000/= zidisha kwa masaa 20 unapata 400,000/= kwa siku kama faida japo kuna wengine mnaweza kukubaliana malipo yatafanyika intern of percentage ya kiasi cha gold itakayopatikana .
Kifupi ni biashara nzuri sana kuifanya kama una mtaji .
Ongeeni hapa hapa hamna cha pm..mkitapeliana msije jukwaan iishie huko huko pm