Habari wadau wa sheria
Mimi nimepata frame nataka nifungue biashara ya juices za aina mbalimbali kama ya miwa, ukwaju na matunda. . . Pia baadae kuweka na chips na vyote vinavyoambatana na hivyo kama mayai, kuku, mishkaki nk. . . Je kwa biashara hii nalazimika kuwa na leseni ya biashara na kulipa kodi?
Msaada tafadhali wadau