Biashara hii inahitaji kulipia kodi?

Biashara hii inahitaji kulipia kodi?

Joined
Feb 8, 2015
Posts
88
Reaction score
34
Habari wadau wa sheria
Mimi nimepata frame nataka nifungue biashara ya juices za aina mbalimbali kama ya miwa, ukwaju na matunda. . . Pia baadae kuweka na chips na vyote vinavyoambatana na hivyo kama mayai, kuku, mishkaki nk. . . Je kwa biashara hii nalazimika kuwa na leseni ya biashara na kulipa kodi?

Msaada tafadhali wadau
 
Kila mwenye kipato analipa kadi kwa mujibu wa sheria
 
Back
Top Bottom