Biashara hii kutoboa lazima

Biashara hii kutoboa lazima

Matajiri wa jf wabishi sana.. mleta fursa anakuambieni tyres nyie mnaleta ujuaji eti tiles acheni ubishi basi changamkieni fursa hiyo mkuze vipato tyres for everybody
 
Ukileta jambo lako jamii uwe umenijapnga vyema,usijekusema vijana wa sasa ni hovyo wakati wewe umeandika muharo,ungeeleza kwanini unafikiria kuwa kwenye eneo lako ukweka hardware unatoboa??
 
Nina eneo langu lipo barabarani kabisa... Maeneo ya Tegeta.. Huku ndo watu wanajenga sana sasa hivi, zipo hardware uchwara ambazekeza hapo tufanye jambo... ( KUTOBOA LAZIMA) kama
Watu wapo isipokuwa vigeugeu wengine siku hz
 
Tiles Tegeta zipo pale Namanga karibu na rabhininsia hospital, zipo nyingine pale dawasco kuna zingine ziipo njia ya ununio. Ukifika Karibu na bunju pale traffic wanasimama juu pale baada ya magengeni. Pia kuna tiles lake oil opposite kwwa chini pale, Bunju A kuna tiles, ukiwa unaelekea bunju sokoni, kuna sehemu traffick wanasimama kushoto kuna maduka ya tiles zaidi ya sita,. Ukivuka mapinga kuna tiles. Na hardware kubwa sana.
Na kuanzia hapo kuendelea hadi zinga ni tiles na.mahadware ya kufa mtu,
Nikirudi nyuma pale bunju sokoni kuna hardware kubwa sana imeandikwa MAKUNA..
Hizi hapa kwa majina.
TEGETA BUILDING HAARDWARE STORE.
MAPINDUZI HARDWARE
Jk HARDWARE
NAMANGA HARDWARE
ZOO HARDWARE TEGETA
WILLIE HARDWARE
MAPAMBANO HARDWOODS
KIMARO HARDWARE(Bingwa kabisa tegata wa kila kitu)
ALAFU KUNA BEDUI, HUYU WAJANJA WOTE WA MJINI, BUGURUNI KKOO NA TEGETA WANAMFAHAMU VIZURI.
Sasa wewe upo tegata Gani?
Hawa wote nasupply mzigo kwao.
Usiseme hamna HARDWARE,sema una eneo unataka mtu awekeze. Tegata hardware kubwa ni nyingi saaaaaaaaana.
Hivi yule fredrick kimaro yupo ?
 
Back
Top Bottom