Biashara ikianza kuwa ngumu unaanza kujikosoa, "hivi ni mimi niliesema ajira ya kupokea mshahara kila mwezi na posho za kila wiki ni utumwa ?"

Mwaka mgumu huu...
Me Jana kijana wangu, ananiambia Kwa trend inavyoonesha hapa hatutoboi , biashara ngumuu... Tuwaze nje ya box!
Na kweli wateja wamekuwa wakusua sua...huku matumizi makubwaa
Kodi na malipo kila pembe.
 
Biashara inahitaji usimamizi wa karibu sana kama sio wewe basi mume/Mke.

Kuweka mfanyakazi halafu unamlipa mshahara huku unaenda kukagua duka kwa nadra hiyo biashara itakufa.

Labda kama hilo duka la mkataba kwamba ulishakaa hapo kama miezi 6 umeshapiga hesabu zako kwa mwezi labda faida 1M

Unaingia mkataba na muuzaji kwamba kwa mwezi akupe labda laki 6 ila sharti awe analipa bili zote na kodi na kinachobaki ni mshahara wake.

Kwahiyo muuzaji anaweza kupambana zaidi kwa mwezi akapiga hata faida ya 1.2M akakupa 600K yeye akabaki na mgao mkubwa zaidi baada ya kutoa matumizi yote na mtaji wako upo.
Ni kweli tabu mitaji ni midogo unajitahidi angalau uajiri na upate atakayekuibia kidogo wakati ukijipanga na mengine.
wife ukimueka wakati mwingine ndo linaweza kuwa balaa tu atalisimamia kwa chips na tusker 2 baridi mambo yatakuwa zaidi ya yaleyale.
 
Nashudia live haya mambo nipo kwenye taasisi ambayo wafanyabiashara inabidi watoe maelezo yenye ushahidi wa hali zao kibiashara ili tuweze kuwasaidia kama wadhamini wa shida wanazopitia,

itoshe kusema wafanyabiashara waliofanikiwa ni wachache, usikurupuke kutamani biashara kwa kuwaangalia hawa wachache ukadhani wengi wana hali hizo, utavamia mtumbwi wa vibwengo !!

kiuhlisia wafanya biashara wengi sana wanapitia magumu kwa stress za marejesho ya mikopo, wateja wachache, ushindani kuharibu faida, kushinda ofisini kila siku asubuhi hadi usiku, kushindwa kulipia frem, kufirisika, n.k,

ni tofauti na waajiriwa wengi hasa wa serikalini, hawafikii mafanikio ya wafanyabiashara wachache matajiri lakini angalau wana uhakika wa kipato.

Unaanza kujiuliza, "hivi ni mimi niliesema ajira ya kupokea mshahara kila mwezi na posho za kila wiki ni utumwa ?"
[emoji23][emoji23]

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Unakuta mtu anapitia stress lakini anaigiza million kwa mwezi lakini wewe upo comfortable kuingiza laki 3 after makato
 
Maisha yote huwezi kuepuka utumwa, labda utaepuka utumwa wa aina fulani tu.

Unaweza kuepuka utumwa wa kufanya kazi chini ya bosi wako, ukafungua biashara, ukaenda kuwa mtumwa wa wateja wako na maafisa wa TRA.

Tajiri mkubwa sana duniani Elon Musk alikuwa na majumba kibao, kayauza karibu yote kwa sababu alijikuta anakuwa kama mtumwa wa mali.

Siku hizi analala mpaka ofisini, kawa mtumwa wa kazi.

Hivyo, usilenge kuepuka utumwa, chagua utumwa utakaoweza kuuvumilia au kuupenda tu.
 
Unakuta mtu anapitia stress lakini anaigiza million kwa mwezi lakini wewe upo comfortable kuingiza laki 3 after makato
Ni kweli mtumishi anaweza akawa anapokea laki 3 baada ya makato na asiwe na stress, yena hapo unakuta kaajiriwa kwa cheti cha certificate (kipo chini ya diploma)

ni tofauti na Mtu kakopa milioni 100 biashara iningiza milioni 1 kwa mwezi, ukianza kutoa makato ya frem, mishahara, kodi, ulinzi, vibali, n.k. anabakiwa na negative / hasara
 
Ni kweli mtumishi anaweza akawa anapokea laki 3 baada ya makato, ni tofauti na Mtu kakopa milioni 100 biashara iningiza milioni 1 kwa mwezi, ukianza kutoa makato ya frem, mishahara, kodi, ulinzi, vibali, n.k. anabakiwa na negative / hasara
Kwaiyo mtumishi hakopi?
 
Kwaiyo mtumishi hakopi?
umeshasema mshahara baada ya makato.

cha ajabu kwa mfanyabiashara umeandika kiupendeleo kwamba anaingiza milioni 1 huku ukisahau makato, hapo unakuta frem laki 5, mshhara na chakula cha msaidizi laki 3, anabaki na laki 2, ... na hapo hana marejesho ya mkopo
 
Million mbili baada ya kutoa huo ushenzi
 
Back
Top Bottom