Biashara iliyoniokoa baada ya kumaliza chuo

Biashara iliyoniokoa baada ya kumaliza chuo

Benews

Member
Joined
Jul 29, 2020
Posts
18
Reaction score
13
Habari Wadau!

Sikuwahi kuwaza Kama ningekuja kuwa mfanyabiashara siku moja. Lakini hakuna ajuaye kesho. Ok nilihitimu Udsm 2019 tangu hapo sijawahi kupata kazi yeyote yakulipwa kutokana na elimu nilitosoma.

Kwetu Ni Moshi hivyo nikawa nashinda tu home Sina hili Wala lile umri unaenda na Wala siingizi chochote 😪 siku moja nikaona post humu JF Kuna dada alikuwa anauza belo mitumba anaitwa Jacky nikamcheki nikamwomba anielekeze ABC za hiyo biashara akauliza sehemu nayopenda kuanzisha nikamjibu Moshi.

Hapo hapo akanishauri kuchukua mabelo ya nguo za baridi za watoto na mengine ya nguo za joto aliniuzia Tsh 400,000 na kunitumia Hadi Moshi ambapo moja kulikuwa na Pc 398 nikatafuta sehemu soko la Memorial nikapata, nashukuru baada ya kuuza mzigo nilipata Return ya 720,000 na bado nilibaki na mabaki ya Buku Buku kibao, kutoka hapo ndio ikawa biashara yangu mzigo ukiisha namcheki ananitumia chapu. Kwa sasa biashara imekua kua angalau namimi naweza kujiingizia kipato.

Unaweza kumcheki kwa no 0692436124 akakushauri au ukachukua mzigo ila sio lazima tufanye biashara ya Aina moja mdau Ila biashara inalipa kuliko kukaa bure.
 
Habari Wadau! Sikuwahi kuwaza Kama ningekuja kuwa mfanyabiashara siku moja. Lakini hakuna ajuaye kesho. Ok nilihitimu Udsm 2019 tangu hapo sijawahi kupata kazi yeyote yakulipwa kutokana na elimu nilitosoma . Kwetu Ni Moshi hivyo nikawa nashinda tu home Sina hili Wala lile umri unaenda na Wala siingizi chochote 😪 siku moja nikaona post humu jf Kuna dada alikuwa anauza belo mitumba anaitwa Jacky nikamcheki nikamwomba anielekeze ABC za hiyo biashara akauliza sehemu nayopenda kuanzisha nikamjibu Moshi , hapo hapo akanishauri kuchukua Mabello yanguo za baridi za watoto na mengine yanguo zajoto aliniuzia Tsh 400 ,000 na kunitumia Hadi Moshi ambapo moja kulikuwa na Pc 398 nikatafuta sehemu Soko lamemoria nikapata , nashukuru baada ya kuuza mzigo nilipata Return ya 720,000 na bado nilibaki na mabaki ya Buku Buku kibao ,, kutoka hapo ndio ikawa biashara yangu mzigo ukiisha namcheki ananitumia chapu .. kwasasa biashara imekua kua angalau namimi naweza kujiingizia kipato
Unaweza kumcheki kwa no 0692436124 akakushauri au ukachukua mzigo ..... Ila sio lazima tufanye biashara ya Aina moja mdau Ila biashara inalipa kuliko kukaa bure
Lipia tangazo
 
9de7640b6870f58b30d4065948ac38e9.jpg
 
Hukua na hili wala lile na ulikua huingizi chochote.... Hiyo kilo 4 ulitoa wapi kiongozi.....
Naona unatuleta... wewe kama unatangaza biashara nyoosha maelezo punguza lomoni zisizo na tija
 
Kuna watu wanaenda kulizwa siyo muda
Hivi ni visa vya ''new member''. Kna mtu kamdanganya nenda JF kajisajili kuna mazoba. Asijue kuwa hapa janja kama hizi ni mambo ya kale kabisa. Hii dunia ya leo kuna mtu anayetoa siri ya biashara yake kwa umma? Ili iweje? Mtu mwenye biashara yenye mafanikio siku zote anaficha ili isijulikabe na wengi na kuvuruga soko lake.
 
Ungeweka na mchanganuo wa bei tujue hiyo 750k inapatikanaje.
 
Jackline katika ubora wako.....

Poor marketing strategy
 
Lengo la uzi wako ni zuri! (Kwa mtazamo wangu)! Yaani ni kuhamasisha wahitimu kujiajiri, badala kukaa tu nyumbani wakisubiria ajira chache kutoka serikalini. Na ni kweli biashara ya mitumba inalipa, na hasa ukipata eneo lenye ubitaji mkubwa wa nguo unazouza!

Ulipoharibu ni hapo unapotaka kuwaamisha watu kutuma hela kirahisi tu hela kwa huyo dada yako Jacky ili kupata hizo balo za mitumba. Biashara ya aina hiyo hutokea pale mnunuzi na muuzaji mnapofahamiana kwanza, na baadaye kujenga mahusiano ya kibiashara. Hapo hata ukituma hela! Mzigo unakufikia, tena kwa uaminifu mkubwa.

Kwa hiyo uwashauri watu wajenge kwanza mahusiano ya kibiashara na huyo Jacky (kama kweli yupo), ili kuepukana na utapeli wa kimtandao.
 
Habari Wadau!

Sikuwahi kuwaza Kama ningekuja kuwa mfanyabiashara siku moja. Lakini hakuna ajuaye kesho. Ok nilihitimu Udsm 2019 tangu hapo sijawahi kupata kazi yeyote yakulipwa kutokana na elimu nilitosoma.

Kwetu Ni Moshi hivyo nikawa nashinda tu home Sina hili Wala lile umri unaenda na Wala siingizi chochote 😪 siku moja nikaona post humu JF Kuna dada alikuwa anauza belo mitumba anaitwa Jacky nikamcheki nikamwomba anielekeze ABC za hiyo biashara akauliza sehemu nayopenda kuanzisha nikamjibu Moshi.

Hapo hapo akanishauri kuchukua mabelo ya nguo za baridi za watoto na mengine ya nguo za joto aliniuzia Tsh 400,000 na kunitumia Hadi Moshi ambapo moja kulikuwa na Pc 398 nikatafuta sehemu soko la Memorial nikapata, nashukuru baada ya kuuza mzigo nilipata Return ya 720,000 na bado nilibaki na mabaki ya Buku Buku kibao, kutoka hapo ndio ikawa biashara yangu mzigo ukiisha namcheki ananitumia chapu. Kwa sasa biashara imekua kua angalau namimi naweza kujiingizia kipato.

Unaweza kumcheki kwa no 0692436124 akakushauri au ukachukua mzigo ila sio lazima tufanye biashara ya Aina moja mdau Ila biashara inalipa kuliko kukaa bure.
M npo pia dox maimoria we upo wap kipande gan tujuane uniconnect na dada jack mkuu
 
Back
Top Bottom