Biashara iliyoniokoa baada ya kumaliza chuo

Biashara iliyoniokoa baada ya kumaliza chuo

Kama umetapeliwa Andika hapa , watu bhana🤣
 
Nonsense
Hukua na hili wala lile na ulikua huingizi chochote.... Hiyo kilo 4 ulitoa wapi kiongozi.....
Naona unatuleta... wewe kama unatangaza biashara nyoosha maelezo punguza lomoni zisizo na tija
 
Hivi ni visa vya ''new member''. Kna mtu kamdanganya nenda JF kajisajili kuna mazoba. Asijue kuwa hapa janja kama hizi ni mambo ya kale kabisa. Hii dunia ya leo kuna mtu anayetoa siri ya biashara yake kwa umma? Ili iweje? Mtu mwenye biashara yenye mafanikio siku zote anaficha ili isijulikabe na wengi na kuvuruga soko lake.
Sawa
 
Habari Wadau!

Sikuwahi kuwaza Kama ningekuja kuwa mfanyabiashara siku moja. Lakini hakuna ajuaye kesho. Ok nilihitimu Udsm 2019 tangu hapo sijawahi kupata kazi yeyote yakulipwa kutokana na elimu nilitosoma.

Kwetu Ni Moshi hivyo nikawa nashinda tu home Sina hili Wala lile umri unaenda na Wala siingizi chochote 😪 siku moja nikaona post humu JF Kuna dada alikuwa anauza belo mitumba anaitwa Jacky nikamcheki nikamwomba anielekeze ABC za hiyo biashara akauliza sehemu nayopenda kuanzisha nikamjibu Moshi.

Hapo hapo akanishauri kuchukua mabelo ya nguo za baridi za watoto na mengine ya nguo za joto aliniuzia Tsh 400,000 na kunitumia Hadi Moshi ambapo moja kulikuwa na Pc 398 nikatafuta sehemu soko la Memorial nikapata, nashukuru baada ya kuuza mzigo nilipata Return ya 720,000 na bado nilibaki na mabaki ya Buku Buku kibao, kutoka hapo ndio ikawa biashara yangu mzigo ukiisha namcheki ananitumia chapu. Kwa sasa biashara imekua kua angalau namimi naweza kujiingizia kipato.

Unaweza kumcheki kwa no 0692436124 akakushauri au ukachukua mzigo ila sio lazima tufanye biashara ya Aina moja mdau Ila biashara inalipa kuliko kukaa bure.
Haha ha ha ha kuna watu wataenda kulizwa muda sio mrefu, hakuna mbongo anayewaelezaga watu mbinu za kufanikiwa, narudia hakuna
 
Lengo la uzi wako ni zuri! (Kwa mtazamo wangu)! Yaani ni kuhamasisha wahitimu kujiajiri, badala kukaa tu nyumbani wakisubiria ajira chache kutoka serikalini. Na ni kweli biashara ya mitumba inalipa, na hasa ukipata eneo lenye ubitaji mkubwa wa nguo unazouza!

Ulipoharibu ni hapo unapotaka kuwaamisha watu kutuma hela kirahisi tu hela kwa huyo dada yako Jacky ili kupata hizo balo za mitumba. Biashara ya aina hiyo hutokea pale mnunuzi na muuzaji mnapofahamiana kwanza, na baadaye kujenga mahusiano ya kibiashara. Hapo hata ukituma hela! Mzigo unakufikia, tena kwa uaminifu mkubwa.

Kwa hiyo uwashauri watu wajenge kwanza mahusiano ya kibiashara na huyo Jacky (kama kweli yupo), ili kuepukana na utapeli wa kimtandao.
Aah hapo kweli umenena mkuu
 
Memorial Sokoni Haa Pale Palivyo
Ulikuwa Unauzia Wapi
 
Memorial Sokoni Haa Pale Palivyo
Ulikuwa Unauzia Wapi
 
Memorial Sokoni Haa Pale Palivyo
Ulikuwa Unauzia Wapi
 
Back
Top Bottom