Biashara imegawanyika katika kuuza au kununua bidhaa na huduma.
Ukinunua sukari dukani umenunua bidhaa, ukipanda ndege au treni umenunua huduma ya usafiri.
Huduma za serikali zisiache kuchukuliwa kama biashara kwa sababu tu hazitengenezi faida. Ni vyema tu Raia wakafahamishwa kwamba hakuna faida iliyopatikana au huduma imetolewa kwa mfumo wa ruzuku.