Biashara imegawanyika katika kuuza au kununua bidhaa na huduma

Biashara imegawanyika katika kuuza au kununua bidhaa na huduma

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Biashara imegawanyika katika kuuza au kununua bidhaa na huduma.
Ukinunua sukari dukani umenunua bidhaa, ukipanda ndege au treni umenunua huduma ya usafiri.

Huduma za serikali zisiache kuchukuliwa kama biashara kwa sababu tu hazitengenezi faida. Ni vyema tu Raia wakafahamishwa kwamba hakuna faida iliyopatikana au huduma imetolewa kwa mfumo wa ruzuku.
 
Biashara imegawanyika katika kuuza/kununua bidhaa na huduma.
Ukinunua sukari dukani umenunua bidhaa, ukipanda ndege au treni umenunua huduma ya usafiri.

Huduma za serikali zisiache kuchukuliwa kama biashara kwa sababu tu hazitengenezi faida. Ni vyema tu raia wakafahamishwa kwamba hakuna faida iliyopatikana au huduma imetolewa kwa mfumo wa ruzuku.

Kama ndivyo siwawaache na machinga wajitome humo kuendelea kutoa huduma?

Haya maneno ya huduma ni siasa tu ndugu. Lengo na madhumini, kufungulia Ile mianya yetu ya kujichukulia vyetu mapema.

Huduma? Ila hospitali na mashuleni huko ni biashara? Ajira nako tujitolee?!

Mengine haya watawaambia wa aina zao tu, lakini siyo Gen Z inayojitambua.
 
Biashara imegawanyika katika kuuza au kununua bidhaa na huduma.
Ukinunua sukari dukani umenunua bidhaa, ukipanda ndege au treni umenunua huduma ya usafiri.

Huduma za serikali zisiache kuchukuliwa kama biashara kwa sababu tu hazitengenezi faida. Ni vyema tu Raia wakafahamishwa kwamba hakuna faida iliyopatikana au huduma imetolewa kwa mfumo wa ruzuku.
Lakini hata huduma za serikali, pamoja na subsidize zake, lazima wanaozisimamia wale na uelewa wa biashara. Kama ndege umesema inaondoka saa nne, basi iwe hivyo. Sio anasubiriwa mkubwa amechelewa kuamka. Mambo hayaendi hivyo. Tutarogwa bure
 
Back
Top Bottom