Fafanua mkuuNa ukicheka na nyani,utavuna mabua.
Ukilenga ist kwa million 7 kisha ukaingizia laki 5 unaweza kuja kuiuza 9m kwa haraka ikawa ni ongezeko la million2. Ukiuza gari 3 kwa mwezi una bei gani???Kuna motivational speaker atakuja hapa atakwambia 'mimi nipe mil 10 tu nakupa faida ya mil 3.5 kila mwezi"
Unapigwa madini feki, bora kuanzisha plant ya kusafishia😅😅😅Naona mwanzo tu. Kingine naona biashara yako ni risk free ungeingia kweny risk kubwa ungepata kikubwa mfano hyo pesa kweny madini unaweza kushika mara 3 kwa mwaka sema ni risk sana kuuziwa makapi ya madini au madini yaliyoungua na wajanja ,majambazi hata kuuliwa .
[emoji23][emoji23]Na ukicheka na nyani,utavuna mabua.
Ulitaka yote 300m kwa mwezi? Kama umeondoka running costs na ukabaki na 5m kwa mwezi sioni kama ni dhambiKuna mda unaweza kuwa kichaa kwenye haya mambo ya biashara.
Nimewekeza Tsh million mia tatu ( 300m+) nimeanza biashara faida ndio napata 5m yaani million tano Kwa mwezi.
Hapo sijatoa mishahara ya wafanyakazi na gharama za kuendeshea ofisi.
Wafanyabiashara mna roho ngumu sana, presha nje nje
Kuna jamaa kauziwa vyupa kalia kama mtoto🤣🤣🤣Unapigwa madini feki, bora kuanzisha plant ya kusafishia😅😅😅
Tufanye kitu bosi wangu[emoji7]Sasa Mimi haka ka milioni Sita kangu nikiwekeza kwenye biashara si nitapata faida elfu Tano?
Imagine mwenzangu umewekeza 300milioni faida ni 5 milioni?
Ndugu yangu Manzile njoo inbox nikufundishe jambo, hutawahi rudi tena hapa ukilalama, chukulia ujumbe wangu seriousKuna mda unaweza kuwa kichaa kwenye haya mambo ya biashara.
Nimewekeza Tsh million mia tatu ( 300m+) nimeanza biashara faida ndio napata 5m yaani million tano Kwa mwezi.
Hapo sijatoa mishahara ya wafanyakazi na gharama za kuendeshea ofisi.
Wafanyabiashara mna roho ngumu sana, presha nje nje
Yes.....Kuna mda unaweza kuwa kichaa kwenye haya mambo ya biashara.
Nimewekeza Tsh million mia tatu ( 300m+) nimeanza biashara faida ndio napata 5m yaani million tano Kwa mwezi.
Hapo sijatoa mishahara ya wafanyakazi na gharama za kuendeshea ofisi.
Wafanyabiashara mna roho ngumu sana, presha nje nje
Wafanyakazi hajalipa bado, soma andiko tena mkuuUlitaka yote 300m kwa mwezi? Kama umeondoka running costs na ukabaki na 5m kwa mwezi sioni kama ni dhambi
Wafanyakazi hajalipa bado, soma andiko tena mkuuUlitaka yote 300m kwa mwezi? Kama umeondoka running costs na ukabaki na 5m kwa mwezi sioni kama ni dhambi