Mkuu ungekuwa specific kidogo maana kwa hilo swali lako ni mkanganyiko sana, Eleza basi duka la kuuza nini, ukubwa gani nk, Magari ya abiria ya masafa marefu au mafupi( daladala), Nyumba za kulala wageni,za kifamilia au.
Note, Jitahidi kuwa makini na unachokiuliza ili upate majibu sahihi