Biashara inayolipa ni ipi kati ya hizi duka, nyumba au magari ya abiria

Biashara inayolipa ni ipi kati ya hizi duka, nyumba au magari ya abiria

Mimi ni mtanzania ninaulizia kama kichwa cha habari kilivyo erick majala
Mkuu ungekuwa specific kidogo maana kwa hilo swali lako ni mkanganyiko sana, Eleza basi duka la kuuza nini, ukubwa gani nk, Magari ya abiria ya masafa marefu au mafupi( daladala), Nyumba za kulala wageni,za kifamilia au.
Note, Jitahidi kuwa makini na unachokiuliza ili upate majibu sahihi
 
Eric Majala? Erick Blandina?
Tulia kwanza, biashara inahitaji akili
 
Njoo na laki3 hapa maeneo ya SAMAKI SAMAKI-MBEZI jioni,mpaka kuisha utakua una jibu muhafaka!
 
Back
Top Bottom