YUDITHA
Senior Member
- May 5, 2013
- 154
- 28
ndugu nina mtaji wa 5 million naomba ushauri wenu biashara gani naweza kufanya ikalipa? niko kibaha pia nafikiria kusafirisha viazi mviringo toka mbeya au vitunguu kutoka ruaha mbuyuni hadi dar kwenda kujumua, vip hiyo biashara imekaaje kwa anaye fahamu? naombeni ushauri wenu na sio dhihaka.