A M K TZ biashara ni nyingi unaweza kufnya lakin nakushauri katika nyanja mbili
1. Ujuzi
2. Uuzaji& ununuaji
Vyote unaweza kufanya katika muda wako wa ziada na ukapata pesa
1. Ujuzi fanya tathmini una ujuzi gani au hobby au katik mazingira yako ni ujuz gani unaweza kuudevelop kwa namna inayofaa kupata kipato mfano ushonaji ususi uchoraji usafi ufundi wa vifaa vya umeme ukarani uhasibu udereva yaan ujuzi tuu lkn uutazame katk kupata faida
2 uuzaji & ununuaji hapa ndo uwinga sasa hapa sileezi sana neno winga limebeba maana kubwa ila kwa upande wako fnya online shop no contact delivery only😎
Muhim * usizubae akili hii itoke kichwani fanya upesi kabla damu haijapoa ukapoteza ladha ya kufnya kitu cha ziada katk kipato chako
Tafta jina la biashara jepesi rahis kusomeka na kukaririka fungua accounts zako fb TikTok ig x jf whatsappbusnes andaa maudhui yaweke mtandao
Tumia Ai kupata maudhui maridhawa na title za kijanja
Muhimu* mwanzo mgumu na hutapata taarifa zote za jambo unalotaka kufnya , taarifa nyingN zinaweza zisifae katk mazingira yako msingi mkubwa ni kuanza changamoto zipo kukata tamaa kupo jiapize jiambie weka kusudi maalum la kwann unaanza safar hyo jipe muda wa kukosEA na kushndwa pia jipe muda kusubiri mafanikio
Haya
Mungu atusamehe tunapomkosea na atufungulie rizk zake
Mungu akusimamie katka jambo lako
AMIIIN