Hizo ruti zimekaa vizuri. Ngoja niendelee kuzidadavua. Shukrani Mkuu.Mkuu ipige ruti ndefu hata ya Horohoro kama gari lako zima au jipya au za fupi basi ipige stand ya zamani to Pongwe itakuwa safi Sana
Hii ya kwenda tanga beach unaweza ielezea zaidi? Naona wengi wanaikimbilia. Mi nazipenda routes zenye challenge ila ziwe na watu.Me ni mwenyeji wa Tanga kwa ruti za ndani Tanga beach pesa ipo pia Mabokweni /Amboni pesa ipo ni njia ya Horohoro
Nicheki dm tuone tunafanyejeMkuu nichukue tukaenze routes ya horo horo mbna Safi Sana
Tanga beach uzuri wake inabeba watu waishio donge ambapo gari za donge pia zinapita sasa tanga beach inapita donge hadi huko tanga beach kwenyewe na watu wa donge uoendelea kali za tanga hii kutokana hazilali/kusimama hovyo kama wafanyavyo donge ..ila routes zenye challenge nzuri horohoro nzuri Sana pia ina watu wengi hasa wafanyabishara hizi gari zinabeba hadi mizigo kutoka mjini pia ni hela ambapo dala dala za ndani mizigo mingi hawachajiwi abiria hawalipi ila siyo horo horo kule kuzuri sana .Hii ya kwenda tanga beach unaweza ielezea zaidi? Naona wengi wanaikimbilia. Mi nazipenda routes zenye challenge ila ziwe na watu.
Mkuu nenda Dm kuna ujumbeNicheki dm tuone tunafanyeje