Brown Mduma
Senior Member
- Sep 29, 2020
- 180
- 284
Mbona unawadanganya watu wewe umewahi kuifanya hiyo biashara?Biashara zote ni nzuri kama wewe ndio utakuwa msimamizi mkuu, upo kushoto unapokea fedha na kusimamia hizo gari , iwe. coaster ama Fuso tipper.
Kama huna muda wa kusimamia na kufuatilia Kwa ukaribu Usijaribu kumpa mtu akuletee hesabu.
Kuliko kumkabidhi mtu ni Bora ukaweka Hela yako Bank na kuhifadhi Mazao ama kujenga nyumba ya kupangisha ya room kumi upate hata laki Tano Kwa mwezi.
Biashara za magari ukimkabidhi mtu. Hupati pesa na gari zinakufaa bila kukuleteya hata Milioni mbili.
Kama wewe ni dereva utaweza , ila vinginevyo subiria maumivu
Nimekulia kwenye hiyo industry , nimeona na kuexoerience mengi sana,Mbona unawadanganya watu wewe umewahi kuifanya hiyo biashara?
Ingekuwa hivyo kama unavyotaka kupotosha watu kusingekuwa na watu waliofanikiwa kwenye biashara hii...hapo inaonyesha haujakulia kwenye biashara ya magari,nina ndugu zangu wengi mno waliofanikiwa kwenye hiyo biashara,Tatizo la humu kila mtu ni mjuajiNimekulia kwenye hiyo industry , nimeona na kuexoerience mengi sana,
Kujifunza ni rahisi wewe nenda kalipe millioni 90 then umkabidhi dereva au toa 62millioni ununue Coaster umpw dereva na kinda mlevi wakuletee fedha nyumbani, nina uhakika ndani ya miezi mitatu utatupa mrejesho wenye akili.
Kumbe umesikia Kwa Ndugu zako , Subiri ukiokota Hela. Na wewe ujaribu hiyo biashara.Ingekuwa hivyo kama unavyotaka kupotosha watu kusingekuwa na watu waliofanikiwa kwenye biashara hii...hapo inaonyesha haujakulia kwenye biashara ya magari,nina ndugu zangu wengi mno waliofanikiwa kwenye hiyo biasharaea
Mkuu...technology bado hazisaidii?Biashara zote ni nzuri kama wewe ndio utakuwa msimamizi mkuu, upo kushoto unapokea fedha na kusimamia hizo gari , iwe. coaster ama Fuso tipper.
Kama huna muda wa kusimamia na kufuatilia Kwa ukaribu Usijaribu kumpa mtu akuletee hesabu.
Kuliko kumkabidhi mtu ni Bora ukaweka Hela yako Bank na kuhifadhi Mazao ama kujenga nyumba ya kupangisha ya room kumi upate hata laki Tano Kwa mwezi.
Biashara za magari ukimkabidhi mtu. Hupati pesa na gari zinakufaa bila kukuleteya hata Milioni mbili.
Kama wewe ni dereva utaweza , ila vinginevyo subiria maumivu
Mkuu hizi coster tunazoona zinapiga kazi mjini wamiliki wake hawanufaiki nazo? na mnapozungumzia usimamizi mzuri, mnamaanisha mmiliki ndie akawe kondakta au dereva?Ukitaka kufa mapema na uongee peke yako barabarani miliki chombo cha usafiri bila usimamizi mzuri
Dereva anaiba,fundi anaiba,konda anaiba, trafiki wanataka pesa
Mi niliwahi lala na viatu siku .....kwanza ukiona simu ya dereva....mapigo yanabadilika kabisa
Mi najiulizaga wanaomiliki mabasi na malori hivi cjui hawana mioyo?
Mkuu, hizi daladala tunazoona zinapiga kazi mjini, je, wahusika hawanufaki nazo? na je, mnapozungumzia hoja ya usimamizi mzuri mnamaanisha mmiliki ndio uwe kondakta au dereva? tafadhali mtupatie uzoefu juu ya hili maana sekta ya daladala hata mm naipigia hesabu kwa sasa.In
Kumbe umesikia Kwa Ndugu zako , Subiri ukiokota Hela. Na wewe ujaribu hiyo biashara.
Unajuwa Bei ya Coaster
Bei ya Fuso?
Halafu unakuja kumpa mjinga Moja anaanza kulewa na kufuata Malaya wa Kutumia nao Hela za Gari zako?
Kama Mtu hana muda wa kusimamia mwenyewe achana nae , fanya issue zingine, Bora ujikite kwenye Ardhi , nunua ekari zako mbili maeneo ya Kibaha , subiri mwaka Moja au miwili unaanza kukata viwanja, ekari Moja , then unasuburi Tena unauzw. Kidogo kidogo , utapata fedha nzuri ,