meaganita
JF-Expert Member
- Sep 24, 2016
- 439
- 645
Try this all you need is your phone and your university internet bundleIpi ni biashara inayofaa kwa mwanafunzi wa chuo anayesoma dar?
jamiiforums.com Earn 10$ for every 30 second Task. Internet Job
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Try this all you need is your phone and your university internet bundleIpi ni biashara inayofaa kwa mwanafunzi wa chuo anayesoma dar?
Mkuu ni nini hiyonathan ukisema uazishe stationary cthani kama itakulipa vizuri.wazo mbadala ni hili wanachuo wote lengo lao ni moja kusoma kama utaweza Kuanzisha E-REANING itakuwa bomba zaidi. E-REANING NI NN? these are software that help in provide reaning facilitatos to students in clude book, pastpaper and different past assagiment.sasa ivi kila mwanachuo ana smart phone market ipo ya kutosa. UKIONA INAKUFAA NI PM au useme niendelee
Sky eclat kivipi hiyo inakuaje kuaje?Unaweza kununua gunia la mchele ufunge vifurushi vya kilo 1,2, 3 na 5 na kuwauzia wanafunzi wengine.
Mkuu unafunga vifufurushi vya kilo 1,2,3,4,5 na unawatangazia wanafunzi kwenye instagram na whatsup.Sky eclat kivipi hiyo inakuaje kuaje?
kama si mwanafunzi je inakuaje?Mkuu unafunga vifufurushi vya kilo 1,2,3,4,5 na unawatangazia wanafunzi kwenye instagram na whatsup.
pia vipi kuhusu bei?Mkuu unafunga vifufurushi vya kilo 1,2,3,4,5 na unawatangazia wanafunzi kwenye instagram na whatsup.
Tafuta contact za wanafunzi, mchele ni bidhaa inayotumiwa sana na wanafunzi, kama si mwanafunzi tafuta mama ntilie na migahawa.kama si mwanafunzi je inakuaje?
Ok wapi ss unapatikana kwa bei rahisi na ni mzuri?Tafuta contact za wanafunzi, mchele ni bidhaa inayotumiwa sana na wanafunzi, kama si mwanafunzi tafuta mama ntilie na migahawa.
Hii huwa inakuwaje kuwaje mkuu hebu tupeane mawazonathan ukisema uazishe stationary cthani kama itakulipa vizuri.wazo mbadala ni hili wanachuo wote lengo lao ni moja kusoma kama utaweza Kuanzisha E-REANING itakuwa bomba zaidi. E-REANING NI NN? these are software that help in provide reaning facilitatos to students in clude book, pastpaper and different past assagiment.sasa ivi kila mwanachuo ana smart phone market ipo ya kutosa. UKIONA INAKUFAA NI PM au useme niendelee