Ngamba JF-Expert Member Joined Jun 6, 2013 Posts 750 Reaction score 151 Jan 19, 2015 #1 Nipo mwanza, Nakalibia kustaafu kazi kama miezi 3 ijayo , naomba ushauri ni biashara ipi nifanye mtaji nilionao ni millioni moja Naomba ushauri wenu wana ujasliamali hapa jamii forums
Nipo mwanza, Nakalibia kustaafu kazi kama miezi 3 ijayo , naomba ushauri ni biashara ipi nifanye mtaji nilionao ni millioni moja Naomba ushauri wenu wana ujasliamali hapa jamii forums
J Jman Member Joined Jan 19, 2015 Posts 39 Reaction score 2 Jan 21, 2015 #2 Kuwa shoe shine kulingana na mtaj wako inalipa aiseee
Chuck j JF-Expert Member Joined Jun 17, 2011 Posts 2,366 Reaction score 828 Jan 21, 2015 #3 Kama ni mwaminifu nenda mwalon nunua samaki wa saiz 3 kaanga uwasafirishe/tuma huku dar utapata ela
Sirdirashy JF-Expert Member Joined Jan 26, 2014 Posts 3,243 Reaction score 3,047 Jan 22, 2015 #4 Jman said: Kuwa shoe shine kulingana na mtaj wako inalipa aiseee Click to expand... @_@v fikiria tena
Jman said: Kuwa shoe shine kulingana na mtaj wako inalipa aiseee Click to expand... @_@v fikiria tena