Biashara ipi nifanye?

Biashara ipi nifanye?

Ngamba

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2013
Posts
750
Reaction score
151
Nipo mwanza, Nakalibia kustaafu kazi kama miezi 3 ijayo , naomba ushauri ni biashara ipi nifanye mtaji nilionao ni millioni moja
Naomba ushauri wenu wana ujasliamali hapa jamii forums
 
Kama ni mwaminifu nenda mwalon nunua samaki wa saiz 3 kaanga uwasafirishe/tuma huku dar utapata ela
 
Back
Top Bottom