Biashara ipi nzuri ya nguo au home decoration kwa Kahama

Biashara ipi nzuri ya nguo au home decoration kwa Kahama

mamamzungu

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2019
Posts
2,650
Reaction score
4,481
Hello wapendwa

Nataka nihamie Kahama sasa nataka kujua kama Biashara gani iko poa kwa Kahama

Mimi nina uzoefu wa nguo za kike na watoto ndio nayoifanya kwa sasa hapa Dar es Salaam ila sasa malengo yangu sio kuuza nguo ni kuuza home decor na vitu vidogovidogo vya matumizi ya nyumbani sijajua nielezee vipi ila kama Biashara ya ramsek kama mnahifahamu

Nachoomba ni wajuzi wa biashara haswa waliopo Kahama Mjini hizo Biashara nilizotaja zinafaa au ndio naenda kupoteza muda 🙆🏻
 
Back
Top Bottom