Biashara isiyo na mtaji iliyobadili maisha yangu

Itupie basi hio website hapa kama una lengo la kusaidia wengi
 
Aisee mkuu nimekupenda bure barikiwa sana
 
Mkuu tupe uzoefu. Jinsi ilivyoanza na ulivyowahost kwa mara ja kwanza.
Naomba nikuulize swali ili.
Je ulituma barua kueleza kuwa unahost visitors au ulituma sms?
Tafadhali tujulishe ili sisi tuchangamkie fursa vyuma vimekaza balaa mitaani
 
mh kwel nouma ulileta uz muda s muda una diploma ya dhr ukitafuta kazi leo fasta maisha unayakimbiza hongera
Muongo njia yake n fupi tuwekee na link ya nyuzi sake mkuu
 
yah hii ndo site iliyochnge my life

Ila pamoja na kueleza mambo mengi hukuthubutu kusema site ambayo nawe uliambiwa na huyo mzungu utembelee
Sijajua kama hukutaka wengine waijue au ulisahau mpaka imekuja kuwekwa na mwingine
By the way hongera kwa kutia amasa vijana wenzako wasibweteke tu kitaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…