Biashara isiyo na mtaji iliyobadili maisha yangu

Humu ndani tumekuwa ni zaidi ya ndugu kutokana na wote kuwa na tatizo moja la kukosa ajira huku tukilalamikia kukosa mitaji lakini je unatambua kuwa unaweza usiwe na mtaji lakini ukaweza kujijengea chanell na kipato kikubwa na ukasahau kabisa kuajiriwa kama nilivyofanya mimi?

Mwaka 2012, nikiwa zangu home baada ya matokeo ya form 4,kutoka nikakutana na mzungu mmoja jina lake anaitwa Gennaro Barricelli, huwa bwana alikuwa ametokea Amsterdam ila katika maongezi nikashangaa akinambia kuwa hana nyumba wala sehemu ya kulala, basi nikajitolea nikampokea home nikawa nalala nae asubuhi tunaenda kutembea nikimuonesha maeneo mbali mbali ya jiji
katika maongezi yangu nikawa na lalamika sana kuhusu ajira huku nikiilalamikia malalamiko serikali.

Ndipo jamaa aliponielekeza fursa ambayo mpaka leo hii imenisaidia mengi na imenifanya nifahamiane na watu wengi sana duniani ishu yenyewe ni kupokea wageni mbali mbali kutoka nchi tofauti duniani (watalii), kwani wengi huwa hawajawahi kufika Tanzania hivyo hutafuta mwenyeji wa hapa Tanzania kwa ajili ya kuwatembeza sehemu mbali mbali pamoja na kuwapeleka kwenye vivutio mbali mbali kupitia site yao.

Basi akanielekeza nikajiunga na site hiyo, haikuwa ngumu kujiunga na ilikuwa ni rahisi sana. Basi nika seaech watalii ambao wanahitaji watu ambao wenyeji kwa ajili ya kuwatembeza kwa siku wakaazo kuwa Dar nikawapata
mara ya kwanza niliwapata 3, ambao walifikia gest ikawa asubuhi nawafata nawazungusha maeneo mbali mbali kama Zanzibar, Kilimanjaro, Tanga,
Bagamoyo na Dodoma kwa Tanzania gharama za safari pamoja na chakula walikuwa wanazilipa wao kama wao na siku wakiondoka nilikuwa naachia visenti kidogo mpka dola 1000, miatano.

Wale ambao nilikuwa nikiwapokea wakawa wanaenda kuelezea na wenzao na kunifanya nizidi kufahamiana na wengine zaidi, basi hali ikaendelea kuwa hivyo kiasi cha kupata wageni mpka 15kwa mwezi, wengine walikuwa wana hadhi mbali mbali kama wanafunzi, madaktari nk.
Itupie basi hio website hapa kama una lengo la kusaidia wengi
 
kutokana na wingi wa watalii ambao nilikuwa nikiwapokea na kuzunguka nao maeneo mbali mbali nikajikuta nikiwa na marafiki wengi sana katika nchi mbali mbali duniani,urafiki ambao naweza kusema umeyabadili maisha yangu kwa sasa kwani nimepata mialiko sehemu tofauti duniani na misaada mbali mbali kutoka kwa watu hao ambao nilikuwa nikiwapokea
nimeamua kuwashirikisha ili msitegemee tu kuajiriwa na serikali bali mtambue kuwa kuna fursa nyingne nyingi sana za kufanya na kufanikiwa cha muhimu tu inakupasa ujichanganye na watu na kuzitafuta
namshkuru mungu kupitia kazi hyo nmeanza kujenga naendesha gari yangu mwenyewe na nmeweza kutembelea maeneo mbali mbali ndani na nje ya Tanzania,nmejijengea marafiki kutoka zaidi ya nchi 50 duniani,kiasi cha kusema nikitaka kwenda kati ya nchi 10 basi 8 ntakuwa na wenyeji au 10 zote ntakuwa na wenyeji,
nmewashirikisha hili kama ndugu zangu sababu tunasubiria ajira ambazo hatujui tutazipata lini na tukiwa na umri gani hvyo wakat unaubiria ajira saka fursa nyingine
thanks
by jerry banks
Aisee mkuu nimekupenda bure barikiwa sana
 
Humu ndani tumekuwa ni zaidi ya ndugu kutokana na wote kuwa na tatizo moja la kukosa ajira huku tukilalamikia kukosa mitaji lakini je unatambua kuwa unaweza usiwe na mtaji lakini ukaweza kujijengea chanell na kipato kikubwa na ukasahau kabisa kuajiriwa kama nilivyofanya mimi?

Mwaka 2012, nikiwa zangu home baada ya matokeo ya form 4,kutoka nikakutana na mzungu mmoja jina lake anaitwa Gennaro Barricelli, huwa bwana alikuwa ametokea Amsterdam ila katika maongezi nikashangaa akinambia kuwa hana nyumba wala sehemu ya kulala, basi nikajitolea nikampokea home nikawa nalala nae asubuhi tunaenda kutembea nikimuonesha maeneo mbali mbali ya jiji
katika maongezi yangu nikawa na lalamika sana kuhusu ajira huku nikiilalamikia malalamiko serikali.

Ndipo jamaa aliponielekeza fursa ambayo mpaka leo hii imenisaidia mengi na imenifanya nifahamiane na watu wengi sana duniani ishu yenyewe ni kupokea wageni mbali mbali kutoka nchi tofauti duniani (watalii), kwani wengi huwa hawajawahi kufika Tanzania hivyo hutafuta mwenyeji wa hapa Tanzania kwa ajili ya kuwatembeza sehemu mbali mbali pamoja na kuwapeleka kwenye vivutio mbali mbali kupitia site yao.

Basi akanielekeza nikajiunga na site hiyo, haikuwa ngumu kujiunga na ilikuwa ni rahisi sana. Basi nika seaech watalii ambao wanahitaji watu ambao wenyeji kwa ajili ya kuwatembeza kwa siku wakaazo kuwa Dar nikawapata
mara ya kwanza niliwapata 3, ambao walifikia gest ikawa asubuhi nawafata nawazungusha maeneo mbali mbali kama Zanzibar, Kilimanjaro, Tanga,
Bagamoyo na Dodoma kwa Tanzania gharama za safari pamoja na chakula walikuwa wanazilipa wao kama wao na siku wakiondoka nilikuwa naachia visenti kidogo mpka dola 1000, miatano.

Wale ambao nilikuwa nikiwapokea wakawa wanaenda kuelezea na wenzao na kunifanya nizidi kufahamiana na wengine zaidi, basi hali ikaendelea kuwa hivyo kiasi cha kupata wageni mpka 15kwa mwezi, wengine walikuwa wana hadhi mbali mbali kama wanafunzi, madaktari nk.
Mkuu tupe uzoefu. Jinsi ilivyoanza na ulivyowahost kwa mara ja kwanza.
Naomba nikuulize swali ili.
Je ulituma barua kueleza kuwa unahost visitors au ulituma sms?
Tafadhali tujulishe ili sisi tuchangamkie fursa vyuma vimekaza balaa mitaani
 
mh kwel nouma ulileta uz muda s muda una diploma ya dhr ukitafuta kazi leo fasta maisha unayakimbiza hongera
Muongo njia yake n fupi tuwekee na link ya nyuzi sake mkuu
 
yah hii ndo site iliyochnge my life

Ila pamoja na kueleza mambo mengi hukuthubutu kusema site ambayo nawe uliambiwa na huyo mzungu utembelee
Sijajua kama hukutaka wengine waijue au ulisahau mpaka imekuja kuwekwa na mwingine
By the way hongera kwa kutia amasa vijana wenzako wasibweteke tu kitaa
 
Back
Top Bottom