Fafanua kdgo mkuuForex,kuwa na solid trading plan unatoka,hiyo ndo biz serikali haijaibana mpk sass
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba msaadaMtoa mada!anza na ww kueleza ni kitu gan unapenda kufanya ..hii ianze na ww kupenda kitu fulan..angalia nafsi yako inapendelea kitu gan..usishauriwe nn cha kufanya..la sivyo hyo hela itaisha bila kutegemea..!
njoo na wazo wadau wakusaidie !