Biashara itakayo kutoawakati huu Wa jpm

Biashara itakayo kutoawakati huu Wa jpm

Write your reply...Da! Kweli hatupendani jamani, hayo mawazo yote hamna hata moja linayoitakia mema hiyo milioni moja na nilichogundua
cha kushangaza zaid, hata hiyo milioni moja haipo!
 
Mtoa mada!anza na ww kueleza ni kitu gan unapenda kufanya ..hii ianze na ww kupenda kitu fulan..angalia nafsi yako inapendelea kitu gan..usishauriwe nn cha kufanya..la sivyo hyo hela itaisha bila kutegemea..!
njoo na wazo wadau wakusaidie !
Naomba msaada
 
Back
Top Bottom