Biashara itakayokupa faida ya bilioni 1 kwa mwaka

Mkuu mm wazo ninalo la biashara obvious km Anataka faida kubwa hvyo basi na mtaji anao pia nina wazo la biashara linalohitaji mtaji mrefu karibia 1b ambayo nina uhakika ndan ya mwaka mmoja anapata faida ya 1b na zaid ila kikubwa awe na mtaji wa kutosha ntatoa idea ya hyo biashara na kuframe how to run it ila mtaji tuu awe nao xx cjui naweza kutoa hilo wazo langu je na mm ntafaidika vp???
Ofcoz wazo hilo nina uhakika nalo na mifano hai ipo kbx


Karibu tuyajenge mkuu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa boss nimekuelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukikaa chini ukafikiria ku import veterinary drugs nitafute tuzungumze...

Na hakika ndani ya mwaka hatojutia ku invest huko...
 
Sasa boss.. tufanye hii Ni fix sasa...wewe inakuathiri nini? Acha chuki zisizo na mpango kaka, Kama huna cha kuchangia it's better to say quit [emoji57]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani kusema ww ni mpiga fix ni chuki???? Mm nasema nilichokiona. Kwa hiyo ulitaka nikupigie mapambio?? Acha tabia za wasukuma za kupendwa kusifiwa
 
Nahisi inawezekana kabisa yule jini kajibadilisha na kuwa mwenye muonekano tofauti (huyo mzee) ili usimgundue.
 
Ok najua businessplan inataka nini ndio. Ok ukweli kuna idea unaweza mwaga hadharani ili watu wazifanyie kazi lakini kuna idea nyingine huwez mwaga hadharani. Idea yangu bado sijaiweka katika maan
Kitu cha kwanza niliwaza kilimo

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nakushauri processing letsay unga au refining mafuta ya kula au the like. Ukiwa serious nicheck inbox kuhusu mafuta ya kula. Kama akiwa na mtaji ambao anaweza amuaa kuuza hata ndoo ya mafuta kwa 35000 ndo kubwa na bado akatengeza doubke profit.
Nb access ya cheap raw material ndo ishu ya msingi pili ishu ya uendeshaji mpka kufikia target ni ishu muhimu na kubwa kuliko zote.
 

Niliwahi kusikiliza makala moja kwenye TV kama miaka miwili iliyopita. Ilikuwa inamhusu msichana mmoja anaitwa Dokta Makwani ambaye anafanya kilimo cha Bamia hapa hapa Dar es Salaam, na ilisemekana kuwa huwa anatengeneza angalau sh mil 2 kwa siku, kwa miezi miwili mfululizo. I guess this can be a closer match to the kind of business you are trying to imagine
 
Nilianza kupata mawazo Kama haya...ila ni namna gani utanifanya na kwa ukubwa gani, inahitaji utafiti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Biashara zipo nyingi sema wewe kwa mawazo yako hata ukipewa bado unaweza hitaji kujua in and out ya hyo biashara, hasara na faida na how to minimise costs, na risk management.
Watu wengine humu jf sio wapenda kutoa ushauri bali kukukatisha tamaa. Wengine hawapendi ushirikiano huo maana wanajua utafaidika peke yako.

Biashara nzuri ni zile za kununua mzgo mkubwa sana na inahitaji mtaji. Mfano ni ununuzi wa mafuta ya magari nje ya nchi, (aina zote),kuna kununua mazao na kupeleka nje ya nchi hasa zenye uhitaji wa vyakula na huwa wananunua kwa dollar, km Somalia, dubai, Yemen na nchi zingine.
Kuna ununuzi wa makontena na kukodisha hapa nchini, biashara ya ununuzi wa samaki km kuna magari ya semi ya semi trailer na yanaweza kuwa na fridge. Ununuzi wa biashara ya vitalu vya uwekezaji, na biashara zingine zinahitaji kuwa na mkataba (memorandum of understanding) ili kufanya biashara mbali mbali kama ya kupeleka nje vyakula ndo inalipa sana.

Najua kuna wengine watatoa povu badala ya ushauri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa boss.. tufanye hii Ni fix sasa...wewe inakuathiri nini? Acha chuki zisizo na mpango kaka, Kama huna cha kuchangia it's better to say quit [emoji57]

Sent using Jamii Forums mobile app

~bize ya asali inalipa mapema na haina mambo mengi sana
~kupeleka mazao nje ya nchi

*au pia anzisha kanisa kama akina Kakobe na Gwaji Boy,utapiga hela Mara mia ya hio 1B


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, baby wako hakusumbui sikuhizi??, yale mawazo yameisha, je ule mchango kwa ajili ya watumishi wa mungu waliokuwa wanakuombea uliupata? na vipi biashara yako ya nguo??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…