Biashara itakayokupa faida ya bilioni 1 kwa mwaka

Real Estate tu

Unahitaji kuwa na madalali 20 tu ambapo kila mmoja atakupa 4M kwa mwezi hii nisawa na 80M kwa mwezi ambapo 1B kwa mwaka.

Hii ni randomly schedule tu huitaji kuwa na mtaji mkubwa, ila unahitaji............basi.


Siongei sana ila ni Real Deal.

NB: ni rahisi kupiga camission ya 10M, 20M kwenye nyumba ya 300M au 350M.

A time i'll try that project and Deal done, and tht time u'll see me on top cover of African Forbes as a youngest selfmade millionaire under 30/30.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amna wazo jipya kwnye biashara kwa siku izi kwasababu kila wazo utalofikiria lita kuwa kwnye certain business industry, business industry izoo ni kama AGRICULTURE,HOSPITALITY,RETAILING,MANUFACTURING,FINANCIAL SERVICES,ENERGY,TRANSPORTATION,CONSTRUCTION,AEROSPACE,SECURITY SERVICES zpo nying sana sitamaliza leo nikisema nizitaje zote ila ingekuwa vzuri kwa ww kama ww kuziangalia vzuri na kuchagua na kuamua utafanya ipi kati ya izoo base na determination zako arafu jaribu kufanya research iwezekanavyo get yourself close to that specific industry know everything about it then itakuw rahc kwako kuinnovate au kuja na wazo zuri base na industry husika
 
Nimekusoma vyema mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Location matters alot kwenye biashara.

Unaposema location unamaanisha customers.

Eg huwezi uza smart phones kijijini ukategemea upate faida ya haraka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpaka hapa andiko lako laonekana kuwa Ni la uwongo.

Kilimo gani upate faida Kila mwezi??

Sent using Jamii Forums mobile app
Jaribu kuwa makini unaposoma kitu, kuhusu faida kwa mwezi ilikuwa Ni katika ufafanuzi wa kuchanganua faida hy ya 1b kwa mwaka ikiwa katika mwezi itakuwa kiasi gani?...hata hvy bado sijapendekeza ni biashara gani inaweza kuzalisha kiasi hicho...na ndio mana nimeleta hii hoja hapa. Hvy basi swala la kilimo ni mawazo yangu tu, cjaweza kuliongelea kiundani coz....sio mtaalamu wa hayo mambo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Location matters alot kwenye biashara.

Unaposema location unamaanisha customers.

Eg huwezi uza smart phones kijijini ukategemea upate faida ya haraka.

Sent using Jamii Forums mobile app
Point yangu ilikuwa kumjibu mtu kwamba niko tayar kufanya kazi popote ikitegemea na aina ya biashara, na hayo ndio yalikuwa majibu yake mkuu na si vinginevyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu wengine wanaakili ya kukufanya umfanyie biashara ya haramu na wewe ukijua kuwa kuna sehemu au nchi ukishikwa ni kifungo au kifo
Lakini ile temptation inakuvuta na unaanza kuwaza maisha ya tofauti

Hapo unaonyeshwa kuwa unaweza kupata hizo
Ungeangalia vipindi vya BANGED UP ABROAD utajua nina maanisha nini

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Nw ndio naanza kukuelewa, kwa hiyo hii inawezekana ni mtego?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nw ndio naanza kukuelewa, kwa hiyo hii inawezekana ni mtego?

Sent using Jamii Forums mobile app
Inaweza ikawa sio hii, lakini 1b kwa mwaka
Ukishindwa kwenda na business plans za hiyo hela hapo ndio atakuambia unaonaje plan yangu hii
Hapo ndio unaanza kuwaza shopping LA
Good luck buddy (just kidding)

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Nina idea 3, je nitafaidika vipi? Kama kuna namna ambayo nitafaidika hata kwa 0.004 kwa mawazo yangu nitafute.

Cost haizidi 200M kuanzisha hii lakini 1B+ ni uhakika.
 
"... business plan ya kwanza amenirudishia ili niondoe hofu juu ya kunidhulumu haki yangu."

Kwa hiyo kisa amekurudishia hiyo copy ndio umeamini kabisa kama hajachukua idea yako?

Au Hajui kusoma au photocopy machine hazipo huko anakoishi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…