[emoji23] [emoji23]Biashara ya kuuza watu labda au ununue timu ulaya huko
Baby care
Nadhani huu uzi haujakamilika.. Mtoa mada hajasema mtaji anaoanza nao ni kiasi ganiHio biashara haiwezekani hapa bongo, akajaribu ulaya huko ambako mtu analipwa million 300 kwa week moja!
Time factor pia.. One billion business inaweza kuwa reality baada ya kama miaka 5 hivi.. Hichi kitu watu hawakiweki kwenye mzani.. Huwez anza tu ukagika 1 B ndani ya mwaka.Vile vile kama unafikiri biashara ambayo ina low entry risk basi fikira kuwekeza kwenye Technology,Research and Development.Zipo Idea Kibao so cha muhimu ni kujua kiasi cha mtaji uliopo,na muda uliopo then ideas zinaweza kumiminika kama mchele.Msisitizo.Kutengeneza a bilion per year kuna hitaji both a good idea and a good business plan