Biashara itakayokupa faida ya bilioni 1 kwa mwaka

Biashara itakayokupa faida ya bilioni 1 kwa mwaka

Biashara ya kuuza watu labda au ununue timu ulaya huko
 
Utajiri wa Tanzania upo kwenye kilimo, ukiweza kulima ama kununua mazao kwa mkulima na kupata masoko ya mazao nnje ya nchi utaweza kutengeneza kiasi kikubwa cha pesa na itakubidi kusajili kampuni ili kufanya biashara kwa ufanisi.
 
Vile vile kama unafikiri biashara ambayo ina low entry risk basi fikira kuwekeza kwenye Technology,Research and Development.Zipo Idea Kibao so cha muhimu ni kujua kiasi cha mtaji uliopo,na muda uliopo then ideas zinaweza kumiminika kama mchele.Msisitizo.Kutengeneza a bilion per year kuna hitaji both a good idea and a good business plan
Time factor pia.. One billion business inaweza kuwa reality baada ya kama miaka 5 hivi.. Hichi kitu watu hawakiweki kwenye mzani.. Huwez anza tu ukagika 1 B ndani ya mwaka.
 
Back
Top Bottom