Biashara itakayokupa faida ya bilioni 1 kwa mwaka

Biashara itakayokupa faida ya bilioni 1 kwa mwaka

Ili utengeneza faida ya angalau bilioni moja kwa margin ya 2-7%inabidi uwekeze angalau mtaji wa 1 trilion au uwe na cash flow ya 5 trilion.Kwa hali y uchumi wa Tanzania biashra mpaka ifikie kiwango hicho unahitaji angalau 3 years.

Unaweza anza kwa kufikiri hivyo kisha ndo uende hatua inayofuata
Hahaha achana na makaratasi mzee
Million 100 kwa mwezi ni pesa ya mtaji wa trilioni? Duh wonders should never end
 
Yeah my papa lakini sio dewji, Kuingiza million 2.7 kwa siku ni pesa ndogo sana

So unataka kusema Mo anaingiza million 2.7 kwa siku? Au kwa masaa kadhaa?

Masikini mtabaki kua masikini tu.
Wewe unaingiza sh. Ngap kwa siku?? Wacha kujisifia hela za mwanaume mwenzako ebo!
Na inaonekana bado unakula na kulala bure kwa babako..SHM

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"... business plan ya kwanza amenirudishia ili niondoe hofu juu ya kunidhulumu haki yangu."

Kwa hiyo kisa amekurudishia hiyo copy ndio umeamini kabisa kama hajachukua idea yako?

Au Hajui kusoma au photocopy machine hazipo huko anakoishi?
Kuna kiasi kidogo kanipa ingawa sikubainisha hapa...sio kwamba hajanipa kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe unaingiza sh. Ngap kwa siku?? Wacha kujisifia hela za mwanaume mwenzako ebo!
Na inaonekana bado unakula na kulala bure kwa babako..SHM

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa ulitaka nifanyeje kaka? Nikaombe kibarua world bank? Family fortune ni kizazi na kizazi, huyo Mo uliemtaja utajiri kaukuta kwa babae na anauendeleza, it's an empire progression.
 
Ina maana gani io picha apo chini ni kwamba tanzania ni kati inch inayotambulka kidunia kuwa bora in entrepreneurship... kwa maan io amna haja ya kwenda taifa lingne na kutarajia kwamb unaweza ukatengeneza faida io kwa mwaka, anyway ukiangalia vzur kwa biashara iliokuwa na msingi pia mfumo mzur toka mwanzo inapoanza n kitu cha kawaida kupata faida zaid ya billion 10 annually only kama ina founders/waanzlsha ambao wan entrepreneurial management system sas billion moja ni hela ndogo na inapatkan only base n how u scale your business
Logopit_1549814935.png
 
Kuuza Viwanja kwa njia ya mtandao
Lkn
Inabidi miezi kama 3 ya kufanya matangazo ya nguvu

Kila kiwanja faida 500K kwa miaka 2

Unatakiwa uuze viwanja 4,000

System tunayo kama upo interested

+255-657-685-268
 
Commodities export .... Unanunua bongo kwa Tshs .... Then unauza nje kwa US dollars/Pound/Euro.
 
Ndugu, mawazo ya biashara yapo mengi sana. Kikubwa tuliza akili, then fanya analysis zako vizuri....utapata tu.

Kwa elimu yangu tu ndogo ya biashara. Naweza kukushauri ubase zaidi, kwenye kuformulate mradi wa kutoa huduma kwa jamii, kuliko uzalishaji wa bidhaa. Maana kwa hali ilivyo hivi sasa, huko ndiko unaweza ukafanya mambo makubwa zaidi, kuliko kwenye uzalishaji.

Kuna mradi ninao, wenyewe unahitaji Tsh 5 billion. Na actual profit yake itakuwa ni Tsh 1 billion after 4 years (operations).

But very sorry, siwezi kukupa hii project. Because soon as possible, itakuwa kwenye implementation stage.

Ila i hope you can ukiamua. Let me wish you all the best mkuu.

Thanks much mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bilioni moja ni kipato kikubwa kwa mwaka?
Ni kipato kidogo mno .Na biashara inayoweza zalisha faida hiyo ni kuanzisha shule nzuri ya secondary inayofaulisha .akipata wanafunzi elfu Moja kwa ada ya shilingi milioni nne kwa Kila mwanafunzi hizo una bilioni nne za ada hapo hujauza vitabu na uniform za wanafunzi !!
 
Back
Top Bottom