i think risk outweighs faida!!..ila warning imetulia
huku kwetu inapatikana wapi?
Nimemzuia kwanza kununua, isije ikamjeruhi muuzaji Si eti EMT?
Hata sijaelewa, Kiinglish kinanipiga chenga. St. Kayumba......
EMT, biashara yako inaelekea kuzusha ya kuzusha!
eeh mi naomba unikopeshe nitalipa baada ya kupata mkopo unasemaje muuzaji?
Hata kwake huyo huyo tunaweza tumia
kwani tulipanga kwenda kuvamiana huko?
Kama kutoa ni kutoa kwa hiyari, asilazimishe
akileta chokochoko ana nasa mwenyewe...
Habari za huko uliko toka? wazima?Missed you too. Mwaaaaah.
Habari za huko uliko toka? wazima?
EMT bana habari yako my dear???
Wauza condom wewe ngoja nikupm
has this device been tested? how effective has it been proven??
EMT kwamba unakua umejiandaa kuwa raped? nimeingia woga mie. teh teh teh.
how does it feel ukiingiza kunako? nahisi kila mara upo consious kua unatekenywa, hailet genye kweli?
Sio kujiandaa kuwa raped, bali ni kuchukua precautions.
Personally, siwezi jua how it feel lakini waliojaribu wanasema it feel OK.
Unataka kununua? Never try on your partner though hasa kwenye zile style zetu mpya.
He will get injured than he is now.
EMT, biashara yako inaelekea kuzusha ya kuzusha!
I think I need it. i know on whom to use it.
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/265812-boss-wangu-anataka-kunifukuza-kazi-sababu-ya-sex.html#post3896028
Hahaaa. Nimekuwekea na link kule ufanye fasta.
Hakyanani nakuhakikishia ukitumia hii product, atakukoma.
Sales officers ndio watu gani tena hao?