Mi nilikua nimesha toa hela ya kununua hii bidhaa
ila delivery ilikua bado kidogo, niliambiwa JF ikirudi
Sasa itakuaje hapa kuhusu malipo Mkuu EMT (wa JF)?
Siwezi kulipa mara mbili kwa kitu kile kile kimoja :/
Asante, I am patiently waiting.Tulia. Unajua JF ilikuwa na kwikwi kidogo mambo yakitengemaa kila kitu kitanyooka.
Saint Ivuga amesha pata mchumba mngine,
Saint Ivuga amesha pata mchumba mngine,
anaitwa CUTE... and she is cute, masha'allah!
Mi nataka niwe nacho tu... just in case yani...
Nimeona ile thread yenu ya matusi matusi, siji!