Biashara kubwa zinazomilikiwa na Cristiano Ronaldo
Cristiano Ronaldo sio tu gwiji wa soka bali pia ni mfanyabiashara aliye na aina mbalimbali za biashara zinazoendeleza ushawishi wake zaidi ya uwanjani. Chapa yake ya CR7 inajumuisha nguo, viatu, manukato, na biashara zingine kubwa.
Kupitia biashara hizi, Ronaldo anahakikisha urithi wake unaendelea kukua ndani na nje ya uwanja.
1:
CR7 Crunch
Fitness
2: Pestana CR7 Lisboa - Hotels
3: CR7 Fragrances
4: Erakulis fitness App
5: CR7 Underwear
6: URSU9 WATER
7: Insparya clinic