Biashara kukwama

Biashara kukwama

Bome-e

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2014
Posts
17,179
Reaction score
26,188
Jaman mimi biashara yangu ya nyama ya .... Imekwama wiki kadhaa sasa!wateja hamna
 
POLE Mimi nilisha fanya biashara hii. Ntafute ntakule kirefu sana kinachotokea kwa biashara hii. +255 689 417472
 
Mkuu ngoja mwezi mtukufu uishe, wala usijali labda kama sijakuelewa vizuri
 
Back
Top Bottom