Yanga na Simba, au hata Azam hata walazimike kupitia USA, wataweza tu!!Nakumbuka Simba na Yanga walipitia Dubai wakati wanaenda Moroko
Biashara wana matatizo mawili... mosi uwezo wa kujipanga kwa haraka; hawana! Just imagine, hata ile safari ya kwanza kwenda Djibouti, wachezaji wao kibao hata passport walikuwa hawana!!!
Issue nyingine ni uzoefu wa haya mambo!!!