Biashara maeneo ya Magole Kwa Mpemba Msafi ipoje?

kinywanyuku

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2015
Posts
3,746
Reaction score
2,924
Wadau kuna mtu anayeishi magole kwa mpemba msafi hivi hali ya kibiashara ikoje kule nikiweka viatu vya kike na pochi maana watu wanasema pagumu
 
Tenga muda nenda kapaangalie, pitia pitia sehemu za biashara jionee hali halisi.

Unaweza tembea huko ukaona na fursa nyingine kibao.
 
Back
Top Bottom