kinywanyuku
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 3,746
- 2,924
Wadau kuna mtu anayeishi magole kwa mpemba msafi hivi hali ya kibiashara ikoje kule nikiweka viatu vya kike na pochi maana watu wanasema pagumu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tenga muda nenda kapaangalie, pitia pitia sehemu za biashara jionee hali halisi.Wadau kuna mtu anayeishi magole kwa mpemba msafi hivi hali ya kibiashara ikoje kule nikiweka viatu vya kike na pochi maana watu wanasema pagumu
Ni mkoa gani na wilaya gani mkuuWadau kuna mtu anayeishi magole kwa mpemba msafi hivi hali ya kibiashara ikoje kule nikiweka viatu vya kike na pochi maana watu wanasema pagumu