Biashara magazeti ambayo hayakuuzika

Biashara magazeti ambayo hayakuuzika

john hotsam da1

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2012
Posts
396
Reaction score
79
Wakuu habari za muda huu
Nina hili wazo la ku supply magazeti yale ambayo hayakununuliwa kwenye maduka ya huku mtaani kwani kuna uhitaji mkubwa.

Tatizo langu kubwa ni kuwa sijajua nayapata wapi(Dar) na kwa utaratibu gani yoyote mwenye kuelewa anijulishe
Mkoa niliyopo ni Dar es Salaam
Nahitaji kama kilo 200 kwa kuanzia
 
Unaenda kwenye kampuni husika.waga siku ikiisha yanarudishwa kule.
 
Back
Top Bottom