john hotsam da1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2012
- 396
- 79
Wakuu habari za muda huu
Nina hili wazo la ku supply magazeti yale ambayo hayakununuliwa kwenye maduka ya huku mtaani kwani kuna uhitaji mkubwa.
Tatizo langu kubwa ni kuwa sijajua nayapata wapi(Dar) na kwa utaratibu gani yoyote mwenye kuelewa anijulishe
Mkoa niliyopo ni Dar es Salaam
Nahitaji kama kilo 200 kwa kuanzia