Biashara Mbili Unazoweza Kuanzisha Bila Mtaji

Unajua watu wengi haswa mswahili, anakwambia ili ufanye biashara lazima kwanza uwe na wazo, hili kwangu ni BIG NO mtaji kwanza wazo baadaye hivi hujawahi kuwa na wazo miaka kadhaa iliyopita na ukaja kufeli kwasababu hukuwa na mtaji. Tuache nadharia za kwenye makaratasi tuende kwenye uhalisia.

Hujawahi jiuliza kwanini aliyesoma BBA wengi wao huwa hawafanti biashara ila wanataka waajiriwe?

Kwangu biashara ni mtaji wazo ni ujinga, ni sawa kuwa na wazo kwenda kuwekeza sayari ya JUPITER wakati unajua hilo haliwezekani kutokana na mtaji
 
Ni kweli 100% nimepata mawazo ya biashara tena mazuri mno na ila mtaji sasa ndo mtihani

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Mimi kwangu huwa wazo kwanza..mtaji sio kipaumbele! Unaweza kuwa na mtaji na ukashidw vile vile kufany hyo biashara!.kaa chini andika kbs utaifnyje hyo biashara...andika kila kitu kinachokujia kichwn mwko(kuwa na diary kbs) jins ya kuanza hyo n usimamizi wke utaisimamiaje...orodhesha na risk zake na jinsi ya kukabiliana nazo...! Automatic hutapata ugumu kuianza!
 
ni
 
Ni hatua gani za kufuatwa ili kupata copyright ya wazo la biashara.na gharama zake zikoje
 
Hii ni kweli kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…