Biashara mpya Dar

We lete powder (sembe) inalipa sana ila tafuta wasanii wa bongo movie na flavour kadhaa kwa ajili hiyo.

Nishafikiria kuhusu sembe lakini not interested on that !!
 
Umiza kichwa kijana, huwezi pewa idea kirahisi hvyo.
 
Habari zenu natafuta biashara mpya nifanyie dar es salaam , biashara hakufanyikiwa bado nani anawazo nzuri anisaidie
Tuseme mfono nilete kitu gani kutoka Dubai au china au india alafu niwe agent yao hata kama hela ya msingi itafika milioni mia

Habari mkuu, nina wazo moja ukilipenda lifanyie utafiti. Bidhaa nyingi zinazozalishwa na wajasiriamali nchini hazina ubora wa vifungashio, unaweza kwenda chini ukanunua mashine za kupark na labelling bidhaa.

Unaweza Ukawa unatoa service kwa wajasiriamali wadogo na wakati au hata wewe mwenyewe kupark na labelling bidhaa utakazopenda tengeneza.
 
Habari zenu
Kama nilivosema kua natafuta kitu hakipo dar , sasa nishapata kitu hakipo tanzania nzima nitaanzia kidogo kidogo sitaweza kutaja hizo bidha ila baada kufanikiwa
hasenteni sana kwa msaada zenu wakuu
 
Kampuni za kutengeneza vifungashio sasa hivi ziko kibao, tena wamewekeza billions!
 
Umiza kichwa kijana, huwezi pewa idea kirahisi hvyo.

Hahhaaa, huyo dada namfahamu; ni mpiganaji sana na kianzio anacho, sema kuna kipindi aliingia kwenye ishu zisizoeleweka, atafanikiwa sana tu, ni suala la muda tu!
 
Achana na biashara za china India na wapi maana kila MTU bongo anazifanya tena saiz wachina wameamua wenyewe waje. Ni PM kama utaweza nikupe Mawazo ya uwekezaji APA APA Tz. Watu wengi wanna pesa ila hawajui wafanye nn
 
Habari zenu
Kama nilivosema kua natafuta kitu hakipo dar , sasa nishapata kitu hakipo tanzania nzima nitaanzia kidogo kidogo sitaweza kutaja hizo bidha ila baada kufanikiwa
hasenteni sana kwa msaada zenu wakuu
Ni PM nkuonyeshe eneo zuri la kumfanya miradi na nkupe some ideas I am sure you will like it

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hahhaaa, huyo dada namfahamu; ni mpiganaji sana na kianzio anacho, sema kuna kipindi aliingia kwenye ishu zisizoeleweka, atafanikiwa sana tu, ni suala la muda tu!

Hasante mkuu
kwa matumaini yako kwangu kufanikiwa
 
Hahhaaa, huyo dada namfahamu; ni mpiganaji sana na kianzio anacho, sema kuna kipindi aliingia kwenye ishu zisizoeleweka, atafanikiwa sana tu, ni suala la muda tu!

safi kama ni hivyo
 
Habari zenu
Kama nilivosema kua natafuta kitu hakipo dar , sasa nishapata kitu hakipo tanzania nzima nitaanzia kidogo kidogo sitaweza kutaja hizo bidha ila baada kufanikiwa
hasenteni sana kwa msaada zenu wakuu

vipi dada mikoani utaki kama singida,manyara n.k
 
wazo zuri hilo kaka kwa mtaji wa huyo jamaa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…