Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari zenu natafuta biashara mpya nifanyie dar es salaam , biashara hakufanyikiwa bado nani anawazo nzuri anisaidie
Tuseme mfono nilete kitu gani kutoka Dubai au china au india alafu niwe agent yao hata kama hela ya msingi itafika milioni mia
Habari mkuu, nina wazo moja ukilipenda lifanyie utafiti. Bidhaa nyingi zinazozalishwa na wajasiriamali nchini hazina ubora wa vifungashio, unaweza kwenda chini ukanunua mashine za kupark na labelling bidhaa.
Unaweza Ukawa unatoa service kwa wajasiriamali wadogo na wakati au hata wewe mwenyewe kupark na labelling bidhaa utakazopenda tengeneza.
Umiza kichwa kijana, huwezi pewa idea kirahisi hvyo.
Ni PM nkuonyeshe eneo zuri la kumfanya miradi na nkupe some ideas I am sure you will like itHabari zenu
Kama nilivosema kua natafuta kitu hakipo dar , sasa nishapata kitu hakipo tanzania nzima nitaanzia kidogo kidogo sitaweza kutaja hizo bidha ila baada kufanikiwa
hasenteni sana kwa msaada zenu wakuu
Hasante mkuu
kwa matumaini yako kwangu kufanikiwa
Hahhaaa, huyo dada namfahamu; ni mpiganaji sana na kianzio anacho, sema kuna kipindi aliingia kwenye ishu zisizoeleweka, atafanikiwa sana tu, ni suala la muda tu!
Kampuni za kutengeneza vifungashio sasa hivi ziko kibao, tena wamewekeza billions!
Mtanzania utamjua tu.Tutazidi zidiwa na wakenya daima.
Habari zenu